`⚪ UMEPOTEZA ACCOUNT YA INSTAGRAM?`*
🍃Je wewe ni mmoja wa watu walioibiwa akaunti Instagram, kupoteza au kusahau taarifa muhimu za akaunti yako ? Unasumbuka vipi utaweza kuipata akaunti yako ?
🍃Leo nakujuza njia rahisi ya kuweza kurudisha Instagram akaunti yako ikitokea umedukuliwa akaunti yako, imeibiwa, umepoteza taarifa muhimu kama vile password, namba za simu , email nk.
💫Labda akaunti yako ya Instagram mwanzoni ilikua fresh tu unatumia ila toka Simu uibiwe au kupoteza umepoteza taarifa zote muhimu. Lakin unajua Instagram unaweza kurudisha akaunti yako ikitokea imeibiwa u kupoteza taarifa muhimu.
💫Instagram Wana email yao inaitwa support@instagram.com ukiwa na changamoto yoyote kuhusu Instagram basi unaweza kuwasiliana nao kupitia Hiyo email na kuweza kupata msaada labda akaunti yako imeibiwa muhusika amebadilisha username, password.
✨Pia umepoteza email yako, namba za simu basi kupitia iyo email yao ya Instagram ambayo ni support@instagram.com inabidi uwatumie maelezo kuhusu akaunti yako kwanini imepotea au sababu zilizopelekea mwizi kubadilisha password au email yako.
🪄Kisha Instagram wataweza kukujibu kwa kuweza kutatua changamoto kuanzia dakika 5 mpaka saa 24, siku mbili , tatu wiki hadi mwezi utaweza kuipata akaunti yako. Hakikisha tu una details muhimu kuhusu email yako kuanzia email, namba za simu pamoja na username.
`⚪JINSI YA KURUDISHA ACCOUNT ZA FACEBOOK ZILIZOIBIWA (Hacked)`
🍀Ingia katika link hapa chini kupitia Computer yako
https://facebook.com/hacked
🍀Jaza PSSWORD yako ya zamani ambayo ulikua unaitumia katika Account yako kabla ya kuibiwa kwa Account yako
🍀Hakikisha una Taarifa zote za Account yako kwa mfano .Namba ya simu , Gmail au profile link
🍀Then fata maelezo hapo ili kurejesha Account 💯💯

