Kumekuwa na tatizo la baadhi ya watumiaji wa Telegram kushindwa kutumia telegram wanapokuwa na bando pekee
Kama wewe ni muathirika mmojawapo wa janga hili basi tumia hizi baadhi ya settings za proxy ili uweze kutumia Telegram vizuri
Bonyeza mojawapo na hutahitaji tena kuwasha VPN ✊
Utabonyeza neno PROXY ili ku connect na TELEGRAM yako prefix uwa zina EXPIRY
Ukiona 1 aiconect weka ingine
Utabonyeza neno proxy itakupeleka telegram kisha uta turn on USE PROXY baada ya hapo enjoy 😎 ukiona proxy yako imegoma gusa neno 𝐂.𝚵.𝚯 𝚫𝚴𝐃𝚩𝚫𝐃 kuwasiliana na mimi nikupe msaada wa proxy nyingine☺️
